Madaktari na Wafamasia wahimizwa kujisajili katika Chama cha Madaktari cha Taifa
Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha
Wafanyakazi Madaktari na Wafamasia Tanzania Dkt. Samweli Rweyemamu akizungumza
na madaktari wa Tawi la Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakati wa kikao
cha kuhamasisha usajili wa wanachama kilichofanyika leo katika ukumbi wa
mikutano wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya madaktari wa Taasisi ya
Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakifuatilia mada iliyokuwa ikitolewa na Mwenyekiti
wa Taifa wa Chama cha Wafanyakazi Madaktari na Wafamasia Tanzania wakati wa
kikao cha kuhamasisha usajili wa wanachama wa chama hicho kilichofanyika leo
katika ukumbi wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa chama cha Madaktari
na Wafamasia Tawi la Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt.Godwin Sharau
akizungumza na madaktari wa Tawi hilo wakati wa kikao cha kuhamasisha usajili
wa wanachama kilichofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo
iliyopo jijini Dar es Salaam.
Picha na: Genofeva Matemu
Comments
Post a Comment