Wizara ya Afya yakagua utoaji huduma JKCI
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji ambaye pia ni mkurugenzi wa kurugenzi ya Tiba Shirikishi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Delila Kimambo akiwa katika picha ya pamoja na waratibu wa huduma za matibabu kutoka wizara ya Afya na wafanyakazi wa Taasisi hiyo mara baada ya kukamilika kwa zoezi la ukaguzi wa kuangalia namna ambavyo hospitali za Serikali zinavyotoa huduma za matibabu lililofanywa na wataalamu kutoka wizara hiyo.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji ambaye pia ni mkurugenzi wa kurugenzi
ya Tiba Shirikishi wa Taasisi ya Moyo
Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Delila Kimambo akizungumza na mratibu wa huduma za matibabu kutoka wizara ya
Afya Dkt. John Mwombeki mara baada ya kukamilika kwa zoezi la ukaguzi wa
kuangalia namna ambavyo hospitali za Serikali zinavyotoa huduma za matibabu
lililofanywa na wataalamu kutoka wizara hiyo.
Mkurugenzi wa Kurugenzi ya magonjwa ya moyo kutoka Taasisi ya
Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Tatizo Waane akizungumza na mratibu wa huduma za matibabu kutoka wizara ya
Afya Dkt. John Mwombeki mara baada ya kukamilika kwa zoezi la ukaguzi wa
kuangalia namna ambavyo hospitali za Serikali zinavyotoa huduma za matibabu
lililofanywa na wataalamu kutoka wizara hiyo.
Comments
Post a Comment