Taasisi ya JAI yasherehekea sikukuu ya Eid al-adha na wagonjwa waliolazwa JKCI
Baadhi
ya wawakilishi kutoka Taasisi inayojihusisha na kutoa huduma kwa wagonjwa na
yatima Jamiyatul Akhlaaqul Islam (JAI) wakiongozwa na mwenyekiti wa Taasisi
hiyo Mwidini Athumani (mwenye koti jeusi) kushusha chakula, maji na juisi kwa
ajili ya kuwapatia wagonjwa waliolazwa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)
ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha sikukuu ya Eid al-adha leo katika Taasisi hiyo
iliyopo Jijini Dar es Salaam
Mjumbe
kutoka Taasisi inayojihusisha na kutoa huduma kwa wagonjwa na yatima Jamiyatul
Akhlaaqul Islam (JAI) Said Khamisi akishirikiana na Muuguzi Kiongozi wa zamu Prisca
Kiyuka kumpatia chakula na juisi mgonjwa aliyelazwa katika Taasisi ya Moyo
Jakaya Kikwete (JKCI) Silver Omary ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha sikukuu ya
Eid al-adha leo katika Taasisi hiyo iliyopo Jijini Dar es Salaam
Mjumbe
kutoka Taasisi inayojihusisha na kutoa huduma kwa wagonjwa na yatima Jamiyatul
Akhlaaqul Islam (JAI) Said Khamisi akimpatia chakula mgonjwa aliyelazwa katika
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Omary Omary ikiwa ni sehemu ya
kuadhimisha sikukuu ya Eid al-adha leo katika Taasisi hiyo iliyopo Jijini Dar
es Salaam. Kulia ni Kiongozi wa zamu wodi namba moja Cecilia Njawike
Picha
na: Khamisi Mussa
******************************************************************************
Comments
Post a Comment