Wananchi wavutiwa na huduma za upimaji wa magonjwa ya moyo na kisukari zinazotolewa katika banda la Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete
Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Victor
Haaly akimpima urefu, uzito na uwiano wa urefu na uzito mwananchi aliyetembelea
banda la JKCI leo lililopo katika viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
vilivyopo barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kupata huduma za
magonjwa ya moyo zinazotolewa na Taasisi hiyo.
Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Zenais Ngowi
akimpima shinikizo la damu (BP) mwananchi aliyetembelea banda la JKCI leo
lililopo katika viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere vilivyopo katika
barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kupata huduma za vipimo vya
magonjwa ya moyo zinazotolewa na Taasisi hiyo.
Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Salha
Mbarouk akimpima wingi wa sukari mwilini mwananchi aliyetembelea banda la JKCI
leo lililopo katika viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere vilivyopo
katika barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kupata huduma za
vipimo vya magonjwa ya moyo zinazotolewa na Taasisi hiyo.
Daktari wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Pedro
Pallangyo akitoa ushauri wa afya ya moyo kwa mwananchi aliyetembelea banda la
JKCI lililopo katika viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere vilivyopo
barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kupata huduma za vipimo vya
magonjwa ya moyo zinazotolewa na Taasisi hiyo.
Afisa Lishe wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Husna
Faraji akitoa ushauri wa ulaji unaofaa kwa mwananchi aliyetembelea banda la
JKCI leo lililopo katika viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere vilivyopo
katika barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kupata huduma za
vipimo vya magonjwa ya moyo zinazotolewa na Taasisi hiyo.
Mtafiti wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Zabella
Mkojera akimfanyia usajili mwananchi aliyefika katika banda la JKCI lililopo
katika maonesho ya Sababasa Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
vilivyopo barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kupata huduma za
vipimo vya magonjwa ya moyo zinazotolewa na Taasisi hiyo.
Picha na: Khamis Mussa
******************************************************************************
Comments
Post a Comment