Wafanyakazi bora robo ya nne ya mwaka wa fedha 2021/2022 wapongezwa
Mfanyakazi bora wa robo ya nne ya mwaka wa fedha 2021/2022
aliyeshika nafasi ya kwanza Dkt. Stella Mongela akipokea ngao ya mfanyakazi
bora kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)
Dkt. Delilah Kimambo wakati wa hafla fupi ya kuwapongeza wafanyakazi hao
iliyofanyika jana katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar
es Salaam.
Mfanyakazi bora wa robo ya nne ya mwaka wa fedha 2021/2022
aliyeshika nafasi ya pili Faith Temba akipokea cheti cha mfanyakazi bora kutoka
kwa kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt.
Delilah Kimambo wakati wa hafla fupi ya kuwapongeza wafanyakazi hao
iliyofanyika jana katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar
es Salaam.
Mfanyakazi bora wa robo ya nne ya mwaka wa fedha 2021/2022
aliyeshika nafasi ya tatu Dkt. Alex Loth akipokea cheti cha mfanyakazi bora
kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)
Dkt. Delilah Kimambo wakati wa hafla fupi ya kuwapongeza wafanyakazi hao
iliyofanyika jana katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar
es Salaam.
Mfanyakazi bora wa robo ya nne ya mwaka wa fedha 2021/2022
aliyeshika nafasi ya pili Faith Temba akielezea mafanikio yaliyopelekea kufikia
hatua hiyo baada ya kupokea cheti wakati wa hafla fupi ya kuwapongeza
wafanyakazi hao iliyofanyika jana katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo
iliyopo jijini Dar es Salaam.
Picha na: JKCI
******************************************************************************************
Comments
Post a Comment