Wafanya mazoezi ya kutembea Km.7 kulinda afya za mioyo yao



Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Delila Kimambo akiwaongoza wafanyakazi wa JKCI pamoja na wanachama wa kikundi cha Wasafi Jogging Club kufanya mazoezi ya mbio za taratibu (Jogging) za umbali wa Km. 7 ikiwa ni muendelezo wa kampeni ya kupambana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza inayofanywa na Taasisi hiyo yenye  kauli mbiu “Tembea na JKCI,Linda Afya ya Moyo Wako”. Matembezi hayo yamefanyika leo jijini Dar es Salam.

Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) pamoja na wanachama wa kikundi cha Wasafi Jogging Club wakifanya mazoezi ya viungo kabla ya kuanza kwa mbio za taratibu (Jogging) za umbali wa Km.7 ikiwa ni muendelezo wa kampeni ya kupambana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza inayofanywa na Taasisi hiyo yenye  kauli mbiu “Tembea na JKCI,Linda Afya ya Moyo Wako”. Matembezi hayo yamefanyika leo jijini Dar es Salam.


Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) pamoja na wanachama wa kikundi cha Wasafi Jogging Club wakifanya mazoezi ya mbio za taratibu (Jogging) za umbali wa Km. 7 wakati wa muendelezo wa kampeni ya kupambana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza inayofanywa na Taasisi hiyo yenye  kauli mbiu “Tembea na JKCI,Linda Afya ya Moyo Wako”. Matembezi hayo yamefanyika leo jijini Dar es Salam.

Picha na Khamis Mussa

Comments

Popular posts from this blog

Wanawake waaswa kulinda mioyo yao, kuepuka sukari na chumvi kupita kiasi

Kutoka miaka 22 hadi kustaafu: Safari ya Lemmah yatoa somo kwa Watumishi wa Umma