Wafanyakazi bora watunukiwa

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akimkabidhi tuzo Afisa Muuguzi mstaafu wa Taasisi hiyo Mary Haule wakati wa hafla fupi ya kumuaga iliyofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.

Mfanyakazi bora wa robo ya nne ya mwaka wa fedha 2022/2023 aliyeshika nafasi ya kwanza afisa Uuguzi Samweli mpiga akipokea ngao ya mfanyakazi bora kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge wakati wa hafla fupi ya kuwapongeza wafanyakazi hao iliyofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.

Mfanyakazi bora wa robo ya nne ya mwaka wa fedha 2022/2023 aliyeshika nafasi ya pili Fundi Sanifu wa Moyo Jasmine Keria akipokea cheti cha mfanyakazi bora kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge wakati wa hafla fupi ya kuwapongeza wafanyakazi hao iliyofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.

Mfanyakazi bora wa robo ya nne ya mwaka wa fedha 2022/2023 aliyeshika nafasi ya tatu Radiografa wa JKCI Shaniath Mziray akipokea cheti cha mfanyakazi bora kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge wakati wa hafla fupi ya kuwapongeza wafanyakazi hao iliyofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.

Picha na: JKCI

******************************************************************************************************************

 

 

Comments

Popular posts from this blog

Serikali yazindua kitabu safari ya upandikizaji wa moyo Tanzania, JKCI yaweka historia mpya ya huduma za kibobezi

Kutoka miaka 22 hadi kustaafu: Safari ya Lemmah yatoa somo kwa Watumishi wa Umma