Utekelezaji wa bajeti ya mwaka wa fedha 2023/24


Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akizungumza na Viongozi wa Taasisi hiyo wakati wa kupitia utekelezaji wa bajeti ya mwaka wa fedha 2023/24 leo katika ukumbi wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam


Mkurugenzi wa Fedha na Mipango wa Taasisi ya Moyo Jakaya kikwete (JKCI) CPA. Agnes Kuhenga akiwasilisha utekelezaji wa mpango kazi wa bajeti ya mwaka wa fedha 2023/24 wakati wa kikao cha viongozi wa Taasisi hiyo kupitia utekelezaji wa bajeti leo jijini Dar es Salaam


Afisa Mipango wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Deborah Wami akielezea namna kitengo cha Mipango kilivyoweka mikakati ya udhibiti wa bajeti wakati wa kikao cha kupitia utekelezaji wa bajeti ya mwaka wa fedha 2023/24 leo katika ukumbi wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam

Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Anna Nkinda akichangia mada wakati wa kikao cha kupitia utekelezaji wa bajeti ya mwaka wa fedha 2023/24 leo katika ukumbi wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam

Mkuu wa Kitengo cha Sheria wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete Maulid Kikondo akichangia mada wakati wa kikao cha kupitia utekelezaji wa bajeti ya mwaka wa fedha 2023/24 leo katika ukumbi wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam


Afisa Mipango wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Vida Mushi akifafanua kuhusu namna ya kudhibiti bajeti wakati wa kikao cha kupitia utekelezaji wa bajeti ya mwaka wa fedha 2023/24 leo katika ukumbi wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam

Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Ghati Chacha akielezea namna ambavyo Idara yake inasimamia masuala ya kuongeza taaluma kwa wafanyakazi wakati wa kikao cha kupitia utekelezaji wa bajeti ya mwaka wa fedha 2023/24 leo katika ukumbi wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam


Baadhi ya Viongozi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa wakati wa kikao cha kupitia utekelezaji wa bajeti ya mwaka wa fedha 2023/24 leo katika ukumbi wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam

Picha na: JKCI
**************************************************************************************************************

 

Comments

Popular posts from this blog

Wataalamu wa JKCI kufanya upasuaji wa moyo nchini Zambia

JKCI na AICC Hospitali kutoa huduma za uchunguzi na matibabu ya moyo katika kikao kazi cha wenyeviti na watendaji wakuu wa Taasisi za Umma

JKCI yamshukuru Rais Dkt.Samia kwa kuwapa magari