Toeni huduma bora kwa wagonjwa

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akizungumza na wafanyakazi wa Taasisi hiyo wakati wa kikao cha kupitia utekelezaji wa kazi zilizofanyika kwa robo ya nne ya mwaka wa fedha 2022/2023 leo katika Ukumbi wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam

Daktari wa usingizi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Faraji Lydenge akielezea namna kitengo cha usingizi kinavyofanya kazi wakati wa kikao cha kupitia utekelezaji wa kazi zilizofanyika kwa robo ya nne ya mwaka wa fedha 2022/2023 leo katika Ukumbi wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam

Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hildegard Karau akielezea namna kitengo cha Ubora wa Huduma kinavyosimamia utekelezaji wa majukumu kwa idara na vitengo wakati wa kikao cha kupitia utekelezaji wa kazi zilizofanyika kwa robo ya nne ya mwaka wa fedha 2022/2023 leo katika Ukumbi wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam

Mhasibu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Adam Sembe akichangia mada wakati wa kikao cha kupitia utekelezaji wa kazi zilizofanyika kwa robo ya nne ya mwaka wa fedha 2022/2023 leo katika Ukumbi wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam


Baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakifuatilia taarifa zilizokuwa zikitolewa wakati wa kikao cha kupitia utekelezaji wa kazi zilizofanyika kwa robo ya nne ya mwaka wa fedha 2022/2023 leo katika Ukumbi wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam 

Picha na: JKCI

********************************************************************************************************************************

Comments

Popular posts from this blog

JKCI na Burkina Faso zasaini makubaliano ya ushirikiano katika kutoa tiba ya magonjwa ya moyo

Wanawake waaswa kulinda mioyo yao, kuepuka sukari na chumvi kupita kiasi

Msumbiji kushirikiana na JKCI katika tiba ya moyo