JKCI wapatiwa msaada wa viti mwendo 10 vya wagonjwa


Daktari kutoka kampuni inayojishughulisha na masuala ya afya Stufit Africa PVT Ltd Shujat Haider akimkabidhi Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Delilah Kimambo viti mwendo 10 vilivyotolewa na kampuni hiyo kwaajili ya kuhudumia wagonjwa wanaotibiwa katika Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.


Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Delilah Kimambo akipokea hati ya umiliki wa viti mwendo 10 kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa kampuni inayojishughulisha na masuala ya afya Stufit Africa PVT Ltd Mehdi Surani baada ya kukabidhi viti hivyo.

Picha na: JKCI

******************************************************************************************************************

Comments

Popular posts from this blog

Wateja wa CRDB kutibiwa JKCI kwa punguzo la asilimia 50%

Wanawake wa JKCI SACCOS wanaongoza kwa kumiliki hisa

JKCI, MOI NA MNH waitwa Comoro kutoa huduma za matibabu ya kibingwa