Wataalamu wa JKCI wajifunza upasuaji wa kubadilisha Valvu bila kufungua kifua


Wataalamu wa magonjwa ya moyo na mishipa ya damu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao wa nchini India wakifanya upasuaji mdogo wa moyo kubadilisha valvu ya mshipa mkubwa wa damu (Aortic Valve) bila kufungua kifua (Transcatheter Aortic  Valve Implantation procedure – TAVI) wakati wa mafunzo ya siku tano kwa wataalamu hao yanayoendelea nchini India.
                                                                                                                            

Wataalamu wa magonjwa ya moyo na mishipa ya damu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao wa nchini India wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kufanya upasuaji mdogo wa moyo kubadilisha valvu ya mshipa mkubwa wa damu (Aortic Valve) bila kufungua kifua (Transcatheter Aortic  Valve Implantation procedure – TAVI) wakati wa mafunzo ya siku tano kwa wataalamu hao yanayoendelea nchini India.

Picha na: JKCI

***********************************************************************************************************************

Comments

Popular posts from this blog

Wateja wa CRDB kutibiwa JKCI kwa punguzo la asilimia 50%

Wanawake wa JKCI SACCOS wanaongoza kwa kumiliki hisa

JKCI, MOI NA MNH waitwa Comoro kutoa huduma za matibabu ya kibingwa