Mataifa 30 wahudhuria mkutano wa kimataifa wa magonjwa ya moyo
Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge
akizungumza katika mkutano wa kimataifa wa magonjwa ya moyo unaofanyika kwa
siku mbili katika Hoteli ya Golden Tulip iliyopo mjini Zanzibar.
Daktari
bingwa wa magonjwa ya moyo kutoka nchini Marekani Mazen Albaghdadi akitoa mada
juu ya magonjwa ya moyo wakati wa mkutano wa kimataifa wa magonjwa ya moyo
unaofanyika kwa siku mbili katika Hotel ya Golden Tulip iliyopo mjini Zanzibar.
Madaktari
kutoka Serikali ya Watu wa China wanaofanya kazi Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete
(JKCI) wakifuatilia wakati wa Mkutano wa kimataifa wa magonjwa ya moyo
unaofanyika kwa siku mbili katika Hotel ya Golden Tulip iliyopo mjini Zanzibar.
Rais
wa Chama cha madaktari wa moyo Tanzania Dkt. Robert Mvungi akitoa mada
inayohusu magonjwa ya moyo wakati wa Mkutano wa kimataifa wa magonjwa ya moyo
unaofanyika kwa siku mbili katika Hotel ya Golden Tulip iliyopo mjini Zanzibar.
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu akimsikiliza mwakilishi kutoka kampuni ya kusambaza dawa za binadamu ya Raj Distributor alipotembelea katika banda la kampuni hiyo wakati wa Mkutano wa kimataifa wa magonjwa ya moyo unaofanyika kwa siku mbili katika Hotel ya Golden Tulip iliyopo mjini Zanzibar.
********************************************************************************************************
Comments
Post a Comment