Wafanya mazoezi ya kupambana na magonjwa yasiyoambukiza

Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) pamoja na wanachama wa kikundi cha Wasafi Jogging Club wakifanya mazoezi ya mbio za taratibu (Jogging) za umbali wa km. 10 wakati wa muendelezo wa kampeni ya kupambana na magonjwa yasiyo ambukiza  iliyozinduliwa rasmi na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa tarehe 4 Mei mwaka huu katika viwanja vya Coco beach jijini Dar es Salaam.

Picha na: Khamis Mussa
*********************************************************************************************************

Comments

Popular posts from this blog

Wateja wa CRDB kutibiwa JKCI kwa punguzo la asilimia 50%

Wanawake wa JKCI SACCOS wanaongoza kwa kumiliki hisa

JKCI kutanua huduma za matibabu ya moyo nchini