JKCI yashiriki kampeni ya afya check kutoa huduma za matibabu ya moyo

Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam Dkt. Toba Nguvila akizungumza hivi karibuni na wananchi waliojitokeza kwenye uzinduzi wa zoezi la upimaji wa afya bila malipo kwa wakazi wa mkoa wa Dar es Salaam linalofanyika katika viwanja vya Barafu Mburahati. Zoezi hilo la upimaji wa siku 10 litafanyika katika halmashauri zote tano za mkoa wa Dar es Salaam.

Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam Dkt. Toba Nguvila akikata Utepe hivi karibuni kuashiria uzinduzi wa zoezi la upimaji wa afya bila malipo kwa wakazi wa mkoa wa Dar es Salaam linalofanyika katika viwanja vya Barafu Mburahati. Zoezi hilo la upimaji wa siku 10 litafanyika katika halmashauri zote tano za mkoa wa Dar es Salaam.

Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group Feliciana Mselle akimpima shinikizo la damu Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam Dkt. Toba Nguvila alipotembelea banda la taasisi hiyo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya upimaji wa afya bila malipo kwa wakazi wa mkoa wa Dar es Salaam.

Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group Mlangwa Yango akizungumza na mwananchi aliyejitokeza hivi karibuni wakati wa zoezi la uzinduzi wa upimaji wa afya bila malipo kwa wakazi wa mkoa wa Dar es Salaam linalofanyika katika viwanja vya Barafu Mburahati. Zoezi hilo la upimaji wa siku 10 litafanyika katika halmashauri zote tano za mkoa wa Dar es Salaam.


Daktari wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group Agnes Ndangamila akizungumza na mwananchi aliyejitokeza hivi karibuni wakati wa zoezi la uzinduzi wa upimaji wa afya bila malipo kwa wakazi wa mkoa wa Dar es Salaam katika viwanja vya Barafu Mburahati. Zoezi hilo la upimaji wa siku 10 litafanyika katika halmashauri zote tano za mkoa wa Dar es Salaam.

Picha na Khamis Mussa

***************************************************************************************************

Comments

Popular posts from this blog

Wataalamu wa JKCI kufanya upasuaji wa moyo nchini Zambia

JKCI na AICC Hospitali kutoa huduma za uchunguzi na matibabu ya moyo katika kikao kazi cha wenyeviti na watendaji wakuu wa Taasisi za Umma

JKCI yamshukuru Rais Dkt.Samia kwa kuwapa magari