Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge
akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 11.1 Afisa Uuguzi mstaafu wa
Taasisi hiyo Zita Meela ikiwa ni shukrani ya kutambua mchango wake aliutoa wa
kuwahudumia wagonjwa wa moyo wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wastaafu watatu wa
taasisi hiyo iliyofanyika jana katika ukumbi wa mikutano wa JKCI. Wastaafu hao
walipewa zawadi na JKCI ya tuzo, cheti, mabati 300 na mifuko ya saruji 300
yenye thamani ya shilingi milioni 11.1
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)
Dkt. Peter Kisenge akimkabidhi tuzo Afisa Uuguzi mstaafu wa Taasisi hiyo Rehema
Bakari ikiwa ni shukrani ya kutambua mchango wake aliutoa wa kuwahudumia
wagonjwa wa moyo wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wastaafu watatu wa taasisi
hiyo iliyofanyika jana katika ukumbi wa
mikutano wa JKCI. Wastaafu hao walipewa zawadi na JKCI ya tuzo, cheti, mabati
300 na mifuko ya saruji 300 yenye thamani ya shilingi milioni 11.1

Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akimkabidhi
cheti mtaalamu mstaafu wa kuendesha mashine ya kuusaidia moyo na mapafu kufanya
kazi (Heart lung machine) wakati wa kufanya upasuaji mkubwa wa moyo Dkt. Fredy
Mwasaga ikiwa ni shukrani ya kutambua mchango wake aliutoa wa kuwahudumia
wagonjwa wa moyo wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wastaafu watatu wa taasisi
hiyo iliyofanyika jana katika ukumbi wa mikutano wa JKCI. Wastaafu hao walipewa
zawadi na JKCI ya tuzo, cheti, mabati 300 na mifuko ya saruji 300 yenye thamani
ya shilingi milioni 11.1
Afisa Uuguzi mstaafu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)
Zita Meela akitoa neno la shukrani wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wastaafu watatu
wa taasisi hiyo iliyofanyika jana katika ukumbi wa mikutano wa JKCI ijini Dar
es Salaam. Wastaafu hao walipewa zawadi na JKCI ya tuzo, cheti, mabati 300 na
mifuko ya saruji 300 yenye thamani ya shilingi milioni 11.1
Maafisa Uuguzi wastaafu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete
(JKCI) Zita Meela na Rehema Bakari wakimlisha keki Mkurugenzi wa Uuguzi Robert
Mallya wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wastaafu hao iliyofanyika jana katika
ukumbi wa mikutano wa JKCI jijini Dar es Salaam. Wastaafu hao walipewa zawadi
na JKCI ya tuzo, cheti, mabati 300 na mifuko ya saruji 300 yenye thamani ya
shilingi milioni 11.1
Picha na JKCI
*********************************************************************************************************
Comments
Post a Comment