Wauguzi wapongenzwa kwa kutoa huduma bora

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akiwa katika picha ya pamoja na maafisa Uuguzi wanaosimamia vitengo mbalimbali vinavyofanya kazi za uuguzi baada ya kuwapatia vyeti vya kuthamini mchango wao katika kusimamia shughuli zinazofanywa na Taasisi.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akimkabidhi Afisa Muuguzi wa Taasisi hiyo Aisha Omary cheti cha kuthamini mchango wake katika kusimamia shughuli zinazofanywa katika kliniki ya wagonjwa wa nje (POD) leo jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akimkabidhi Afisa Muuguzi wa Taasisi hiyo anayesimamia wodi namba tatu Salama Mkinga cheti cha kuthamini mchango wake katika kutoa huduma bora kwa wagonjwa wanaotibiwa na JKCI. 

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akimkabidhi Afisa Muuguzi wa Taasisi hiyo anayesimamia katika wodi ya wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu (CCU) Tuzo Mcharo cheti cha kuthamini mchango wake katika kutoa huduma bora kwa wagonjwa wanaotibiwa JKCI.

 

Comments

Popular posts from this blog

JKCI na AICC Hospitali kutoa huduma za uchunguzi na matibabu ya moyo katika kikao kazi cha wenyeviti na watendaji wakuu wa Taasisi za Umma

JKCI yapata tuzo ya taasisi ambayo imetoa mchango wa kipekee kiuchumi na kijamii katika kuleta matokeo makubwa kwa kipindi cha mwaka 2023/2024

Maabara ya JKCI yapata ithibati ya kimataifa (ISO 15189:2012)