JKCI yazindua kamati ya kusimamia masuala ya fedha endelevu


Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa kamati tendaji inayoshughulikia masuala endelevu ya fedha ya JKCI baada ya kuizundua leo jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akimkabidhi Mwenyekiti wa kamati tendaji inayoshughulikia masuala endelevu ya fedha ya taasisi hiyo Mr. Iddi Lema adidu rejea za majukumu ya kamati hiyo leo wakati wa uzinduzi wa kamati hiyo uliofanyika jijini Dar es Salaam. Kushoto ni katibu wa kamati hiyo CPA. Agness Kuhenga

Na: JKCI

****************************************************************************************************************

Comments

Popular posts from this blog

Wateja wa CRDB kutibiwa JKCI kwa punguzo la asilimia 50%

Wanawake wa JKCI SACCOS wanaongoza kwa kumiliki hisa

JKCI kutanua huduma za matibabu ya moyo nchini