Wafanyakazi wa JKCI wapewa zawadi za sikukuu za Krismasi na mwaka mpya
Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya
Kikwete (JKCI) Dkt. Tatizo Waane akimkabidhi Afisa Muuguzi Msaidizi wa Taasisi
hiyo Veronica Mmari zawadi ya mafuta ya kupikia ikiwa ni moja ya zawadi za sikukuu za Krismasi na mwaka mpya
zilizotolewa na uongozi wa Taasisi hiyo. Jumla ya wafanyakazi 719 wamepewa zawadi za sukari, mchele, mafuta ya
kupikia, sabuni na unga wa ngano.
Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Tatizo Waane akimkabidhi Afisa Kumbukumbu Msaidizi wa Taasisi hiyo Yusta Condra zawadi ya sukari ikiwa ni moja ya zawadi za sikukuu za Krismasi na mwaka mpya zilizotolewa na uongozi wa Taasisi hiyo. Jumla ya wafanyakazi 719 wamepewa zawadi za sukari, mchele, mafuta ya kupikia, sabuni na unga wa ngano.
Kaimu Mkuu wa Hospitali ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dar Group Dkt. Tulizo Shemu akimkabidhi Daktari wa taasisi hiyo Amisa Kaganda zawadi ya sukari ikiwa ni moja ya zawadi za sikukuu za Krismasi na mwaka mpya zilizotolewa na uongozi wa Taasisi hiyo. Jumla ya wafanyakazi 719 wamepewa zawadi za sukari, mchele, mafuta ya kupikia, sabuni na unga wa ngano.
Afisa Utumishi wa Hospitali ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dar
Group Amir Bakari akimkabidhi Afisa Muuguzi Msaidizi wa taasisi hiyo Mariam
Mshauri zawadi ya mafuta ya kupikia ikiwa ni moja ya zawadi za sikukuu za Krismasi na mwaka mpya zilizotolewa na uongozi
wa Taasisi hiyo. Jumla ya wafanyakazi 719 wamepewa zawadi za sukari, mchele,
mafuta ya kupikia, sabuni na unga wa
ngano.
Comments
Post a Comment