Posts

Showing posts from February, 2026

Viongozi wa JKCI SACCOS watakiwa kufanya uwekezaji

Image
Mwenyekiti wa Bodi ya SACCOS ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Tulizo Shemu akizungumza na wanachama wa SACCOS hiyo wakati wa mkutano mkuu wa sita uliofanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa PSSF uliopo Makumbusho jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akiwaeleza wanachama wa SACCOS ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) umuhimu wa kuwekeza wakati wa mkutano Mkuu sita wa Chama hicho uliofanyika   mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa PSSF uliopo Makumbusho jijini Dar es Salaam.  Afisa Ushirika wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Abdulhakim Haidar akitoa ufafanuzi kuhusu uwekezaji kwa wanachama wa SACCOS ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakati wa mkutano mkuu wa sita wa SACCOS hiyo uliofanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa PSSF uliopo Makumbusho jijini Dar es Salaam. Mjumbe wa SACCOS ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Sophia Bishashara akichangia mada wakati wa mkutano mkuu ...