JKCI na TTB kushirikiana kukuza Utalii Tiba nchini

Mkurungenzi Mkuu Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Ephraim Mafuru akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge alipotembelea taasisi hiyo jana kwaajili ya kuona namna ya kushirikiana katika kukuza utalii tiba nchini. 

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akielezea namna JKCI inafanya utalii tiba nchini wakati wa kikao cha ushirikiano na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) katika kukuza utalii tiba nchini kilichofanyika jana  katika Kliniki ya JKCI Osterbay iliyopo jijini Dar es salaam.

Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akimkabidhi zawadi Mkurungenzi Mkuu Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Ephraim Mafuru mara baada ya kumalizika kwa kikao cha ushirikiano kati ya taasisi hizo mbili katika kukuza utalii tiba nchini kilichofanyika jana JKCI Kliniki ya Osterbay iliyopo jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge na Mkurungenzi Mkuu Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Ephraim Mafuru wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa taasisi hizo mara baada ya kumalizika kwa kikao cha ushirikiano kati taasisi hizo mbili katika kukuza utalii tiba nchini kilichofanyika jana JKCI Kliniki ya Osterbay iliyopo jijini Dar es Salaam.

Picha na JKCI

***************************************************************

 

Comments

Popular posts from this blog

JKCI na Burkina Faso zasaini makubaliano ya ushirikiano katika kutoa tiba ya magonjwa ya moyo

Wanawake waaswa kulinda mioyo yao, kuepuka sukari na chumvi kupita kiasi

Msumbiji kushirikiana na JKCI katika tiba ya moyo