Wataalamu wa afya kutoka Madagascar wavutiwa na ubora wa huduma za moyo za JKCI

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Robert Mallya akimkabidhi zawadi Mfamasia Mkuu wa Bohari ya Dawa kutoka nchini Madagascar (SALAMA) Soafara Andrianone wakati wa ziara ya ujumbe wa wataalamu wa afya kutoka nchini humo ulipotembelea JKCI hivi karibuni kuona huduma zinazotolewa na kuangalia namna ya kushirikiana.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Robert Mallya akimkabidhi zawadi Mkurugenzi wa Idara ya Famasia kutoka Wizara ya Afya nchini Madagascar Dkt. Maximine Ravaoarimanana wakati wa ziara ya ujumbe wa wataalamu wa afya kutoka nchini humo ulipotembelea JKCI hivi karibuni kuona huduma zinazotolewa na kuangalia namna ya kushirikiana.

Viongozi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na ujumbe wa wataalamu wa afya kutoka nchini Madagascar (SALAMA) wakijadiliana wakati ya ziara ya ujumbe huo ulipotembelea JKCI hivi karibuni kwa ajili ya kuona huduma zinazotolewa pamoja na kuangalia namna ya kushirikiana.

Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group Dkt. Tulizo Shemu akiwatembeza katika maeneo ya JKCI ujumbe wa wataalamu wa afya kutoka nchini Madagascar (SALAMA) walipotembelea JKCI hivi karibuni kwaajili ya kuona huduma zinazotolewa na kuangalia namna ya kushirikiana. 


Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Robert Mallya akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group Dkt. Tulizo Shemu na ujumbe wa wataalamu wa afya kutoka nchini Madagascar mara baada ya kumalizika kwa ziara ya kuangalia huduma zinazotolewa na JKCI pamoja na kuangalia namna ya kushirikiana.

Picha na JKCI

***************************************************************************************************

Comments

Popular posts from this blog

JKCI na Burkina Faso zasaini makubaliano ya ushirikiano katika kutoa tiba ya magonjwa ya moyo

Wanawake waaswa kulinda mioyo yao, kuepuka sukari na chumvi kupita kiasi

Msumbiji kushirikiana na JKCI katika tiba ya moyo