Wananchi wapata huduma za kibingwa za matibabu ya moyo Sabasaba

Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Abderehmani Njale akiwafundisha namna ya kumhudumia mgonjwa anayehitaji huduma ya dharura raia wa India waliofika katika banda la JKCI lililopo katika Banda la Jakaya Kikwete wakati wa Maonesho ya Sabasaba.


Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akimsikiliza afisa lishe wa Taasisi hiyo Husna Faraji alipotembelea banda la Taasisi hiyo lililopo katika Banda la Jakaya Kikwete wakati wa  maonesho ya Sabasaba yanayofanyika jijini Dar es Salaam.

Afisa huduma bora kwa wateja wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hildegard Karau akimwelezea mwananchi aliyefika katika banda la JKCI lililopo katika Banda la Jakaya Kikwete huduma zinazotolewa na Taasisi hiyo wakati wa Maonesho ya Sabasaba yanayofanyika jijini Dar es Salaam.


Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Irene Mdingi kimpima shinikizo la damu mwananchi aliyetembelea banda la JKCI lililopo Banda la Jakaya Kikwete katika maonesho ya sabasaba kwaajajili ya kupata huduma za upimaji na matibabu ya kibingwa ya magonjwa ya moyo.


Comments

Popular posts from this blog

JKCI na AICC Hospitali kutoa huduma za uchunguzi na matibabu ya moyo katika kikao kazi cha wenyeviti na watendaji wakuu wa Taasisi za Umma

JKCI yapata tuzo ya taasisi ambayo imetoa mchango wa kipekee kiuchumi na kijamii katika kuleta matokeo makubwa kwa kipindi cha mwaka 2023/2024

Maabara ya JKCI yapata ithibati ya kimataifa (ISO 15189:2012)