Viongozi wa JKCI wapigwa msasa na Taasisi ya Uongozi


Viongozi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakijifunza kwa vitendo kupitia mchezo wa jenga jinsi ya kufanya kazi kwa pamoja wakati wa mafunzo siku mbili ya uongozi yaliyotolewa na Taasisi ya Uongozi hivi karibuni katika hoteli ya Oceanic Bay iliyopo wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani.

Mkufunzi Moses Mwakazi kutoka Taasisi ya Uongozi akiwafundisha kwa njia ya vitendo viongozi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) jinsi ya kufanya kazi kimkakati na kufikia malengo waliyojiwekea wakati wa mafunzo ya siku mbili ya  uongozi yaliyotolewa na Taasisi ya Uongozi hivi karibuni katika hoteli ya Oceanic Bay iliyopo wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani.

Viongozi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakifuatilia mada ya jinsi ya kutunza rasilimali za umma iliyokuwa inatolewa na Paul Bilabaye wakati wa mafunzo ya siku mbili  ya uongozi yaliyotolewa na Taasisi ya Uongozi hivi karibuni katika hoteli ya Oceanic Bay iliyopo wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani.


Prof. Linda Mhando kutoka Taasisi ya Uongozi akiwafundisha viongozi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) uongozi wa kimkakati na mazoea ya usimamizi wakati wa mafunzo ya siku mbili ya uongozi yaliyotolewa na Taasisi ya Uongozi hivi karibuni katika hoteli ya Oceanic Bay iliyopo wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Taasisi hiyo mara baada ya kumalizika kwa mafunzo ya uongozi ya siku mbili yaliyotolewa na Taasisi ya Uongozi hivi karibuni katika hoteli ya Oceanic Bay wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani.



Comments

Popular posts from this blog

JKCI na AICC Hospitali kutoa huduma za uchunguzi na matibabu ya moyo katika kikao kazi cha wenyeviti na watendaji wakuu wa Taasisi za Umma

JKCI yapata tuzo ya taasisi ambayo imetoa mchango wa kipekee kiuchumi na kijamii katika kuleta matokeo makubwa kwa kipindi cha mwaka 2023/2024

Maabara ya JKCI yapata ithibati ya kimataifa (ISO 15189:2012)