Wahudumu wa afya wastaafu JKCI wapongezwa kwa utendaji mzuri wa kazi wakati wa utumishi wao
Mhudumu
wa afya mstaafu kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Edith Bonamali
akitoa neno la shukrani wakati wa hafla fupi ya kuwaanga wastaaafu wawili wa
Taasisi hiyo leo jijini Dar es Salaam.
Mhudumu wa afya mstaafu kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete
(JKCI) Elina Moshi akitoa neno la shukrani wakati wa hafla fupi ya kuwaanga
wastaaafu wawili wa Taasisi hiyo leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)
Dkt. Peter Kisenge akiwa katika picha ya pamoja na wahudumu wa afya wawili
wanaostaafu kutoka katika Taasisi hiyo wakati wa hafla fupi ya kuwaaga leo
jijini Dar es Salaam
Picha na: JKCI
*******************************************************************************************************************************
Comments
Post a Comment