JKCI yahamasisha jamii kufanya mazoezi ili ijikinge na magonjwa yasiyoambukiza




 Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Dkt. Peter Kisenge pamoja na kikundi cha Wasafi Jogging Club wakifanya matembezi ya hiari ikiwa ni muendelezo wa kampeni ya kupambana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza katika kuadhimisha siku ya moyo duniani. Matembezi hayo yanaenda sambamba na upimaji wa siku mbili wa magonjwa ya moyo kwa wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam katika kliniki mpya ya JKCI iliyopo Jengo la Mkapa Health Plaza Kawe barabara ya Tuari.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akifanya mazoezi ya viungo baada ya matembezi ya hiari ikiwa ni muendelezo wa kampeni ya kupambana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza katika kuadhimisha siku ya moyo duniani. Matembezi hayo yanaenda sambamba na upimaji wa siku mbili wa magonjwa ya moyo kwa wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam katika kliniki mpya ya JKCI iliyopo Jengo la Mkapa Health Plaza Kawe barabara ya Tuari.



Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) pamoja na kikundi cha Wasafi Jogging Club wakifanya mazoezi ya viungo baada ya matembezi ya hiari ikiwa ni muendelezo wa kampeni ya kupambana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza katika kuadhimisha siku ya moyo duniani. Matembezi hayo yanaenda sambamba na upimaji wa siku mbili wa magonjwa ya moyo kwa wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam katika kliniki mpya ya JKCI iliyopo Jengo la Mkapa Health Plaza Kawe barabara ya Tuari.

Baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya matembezi ya hiari ikiwa ni muendelezo wa kampeni ya kupambana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza katika kuadhimisha siku ya moyo duniani. Matembezi hayo yanaenda sambamba na upimaji wa siku mbili wa magonjwa ya moyo kwa wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam katika kliniki mpya ya JKCI iliyopo Jengo la Mkapa Health Plaza Kawe barabara ya Tuari.

Picha na: JKCI

**************************************************************************************************


Comments

Popular posts from this blog

Wateja wa CRDB kutibiwa JKCI kwa punguzo la asilimia 50%

Wanawake wa JKCI SACCOS wanaongoza kwa kumiliki hisa

JKCI kutanua huduma za matibabu ya moyo nchini