JKCI yatibu moyo bure Dar es Salaam
Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)
Hospitali ya Dar Group Agnes Mkama akimpima shinikizo la damu mwananchi
aliyejitokeza kufanya uchunguzi wa magonjwa ya moyo wakati wa kambi maalumu ya
siku mbili kuadhimisha siku ya moyo duniani inayofanywa na Taasisi hiyo katika
kliniki mpya ya JKCI iliyopo Jengo la Mkapa Health Plaza Kawe barabara ya Tuari
jijini Dar es Salaam
Daktari wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya
Dar Group Nicholaus Steven akimsikiliza mwananchi aliyefanyiwa vipimo vya moyo
wakati wa kambi maalumu ya siku mbili kuadhimisha siku ya moyo duniani
inayofanywa na Taasisi hiyo katika kliniki mpya ya JKCI iliyopo Jengo la Mkapa
Health Plaza Kawe barabara ya Tuari jijini Dar es Salaam
Daktari na mtafiti wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group Joyce Manyama akimuuliza maswali ya ufahamu kuhusu mangojwa ya moyo mkazi wa Dar es Salaam aliyejitokeza kufanya uchunguzi wa magonjwa ya moyo katika kambi maalumu ya siku mbili kuadhimisha siku ya moyo duniani inayofanywa na Taasisi hiyo katika kliniki mpya ya JKCI iliyopo Jengo la Mkapa Health Plaza Kawe barabara ya Tuari jijini Dar es Salaam
Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya
Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group akimpima kipimo cha kuangalia jinsi moyo
unavyofanya kazi mkazi wa Dar es Salaam aliyefika wakati wa kambi maalumu ya
siku mbili kuadhimisha siku ya moyo duniani inayofanywa na Taasisi hiyo katika
kliniki mpya ya JKCI iliyopo Jengo la Mkapa Health Plaza Kawe barabara ya Tuari
jijini Dar es Salaam
Na: JKCI
********************************************************************************************************
Comments
Post a Comment