JKCI yafanya tathmini ya utekelezaji wa mpango mkakati kwa mwaka wa fedha 2022/2023

Kaimu Mkuu wa Idara ya Mipango wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) CPA. Deborah Wami akiwasilisha ripoti ya tathmini ya utekelezaji wa mpango mkakati kwa mwaka wa fedha 2022/2023 kwa wafanyakazi wa Taasisi hiyo leo katika Ukumbi wa JKCI iliyopo jijini Dar es Salaam.

Daktari wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Sigfrid Shayo akichangia mada wakati wa kikao cha kuwasilisha ripoti ya tathmini ya utekelezaji wa mpango mkakati kwa mwaka wa fedha 2022/2023 leo katika ukumbi wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam. 

Mkuu wa Kitengo cha Huduma bora kwa wateja wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Naizihijwa Majani akielezea namna ambavyo wagonjwa walitoa maoni yao kuhusu huduma wanazozipata JKCI wakati wa kikao cha kuwasilisha ripoti ya tathmini ya utekelezaji wa mpango mkakati kwa mwaka wa fedha 2022/2023 leo katika ukumbi wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam. 

Baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakisikiliza wakati wa kuwasilishwa kwa ripoti ya tathmini ya utekelezaji wa mpango mkakati kwa mwaka wa fedha 2022/2023 katika ukumbi wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam

Picha na: JKCI

***********************************************************************************************************

Comments

Popular posts from this blog

Wateja wa CRDB kutibiwa JKCI kwa punguzo la asilimia 50%

Wanawake wa JKCI SACCOS wanaongoza kwa kumiliki hisa

JKCI, MOI NA MNH waitwa Comoro kutoa huduma za matibabu ya kibingwa