JKCI yapokea tuzo mbili za machapisho bora katika mkutano wa kimataifa wa kisayansi


Katibu Mkuu Wizara ya Afya John Jingu akimkabidhi Daktari wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Pedro Pallangyo tuzo ya chapisho bora linaloelezea utafiti wa magonjwa ya moyo kwa wanawake wakati wa kufunga mkutano wa kimataifa wa kisayansi wa magonjwa yasiyoambukiza  jana katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Julius  Nyerere


Katibu Mkuu Wizara ya Afya John Jingu akimkabidhi Daktari wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)  Nakigunda Kiroga tuzo ya chapisho bora linaloelezea utafiti wa kuwa tayari kupambana na magonjwa yasiyoambukiza wakati wa kufunga mkutano wa kimataifa wa kisayansi wa magonjwa yasiyoambukiza jana katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Julius  Nyerere

Picha na: Khamis Mussa
**********************************************************************************************

Comments

Popular posts from this blog

Wateja wa CRDB kutibiwa JKCI kwa punguzo la asilimia 50%

Wanawake wa JKCI SACCOS wanaongoza kwa kumiliki hisa

JKCI kutanua huduma za matibabu ya moyo nchini