Wafanyakazi wa JKCI wafanya mazoezi kulinda afya ya moyo
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) pamoja
na wanachama wa kikundi cha Wasafi Jogging Club wakifanya mazoezi ya viungo
kabla ya kuanza kwa mbio za taratibu (Joggong) za umbali wa Km. 7 ikiwa ni
muendelezo wa kampeni ya kupambana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza inayofanywa
na Taasisi hiyo yenye kauli mbiu “Tembea na JKCI, Linda Afya ya Moyo Wako”. Matembezi
hayo yamefanyika jana kwa mara ya tano Jijini Dar es Salaam tangu yazinduliwa
mwezi Desemba mwaka 2022
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) pamoja
na wanachama wa kikundi cha Wasafi Jogging Club wakifanya mazoezi ya mbio za
taratibu (Jogging) za umbali wa Km. 7 wakati wa muendelezo wa kampeni ya
kupambana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza inayofanywa na Taasisi hiyo yenye
kauli mbiu “Tembea na JKCI, Linda Afya ya Moyo Wako”. Matembezi hayo
yamefanyika jana kwa mara ya tano Jijini Dar es Salaam tangu yazinduliwa mwezi
Desemba mwaka 2022
Picha na: Khamis Mussa
******************************************************************************************************************************************
Comments
Post a Comment