Kambi maalum ya mfumo wa umeme wa moyo yafanyika JKCI




Madaktari bingwa wa moyo na mfumo wa umeme wa moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao kutoka Shirika la Madaktari Afrika la nchini Marekani wakimfanyia upasuaji wa tundu dogo kwa kutumia mtambo wa Cathlab mgonjwa mwenye matatizo ya mfumo wa umeme wa moyo wakati wa kambi maalum ya siku tano ya matibabu hayo.


Wataalam wa afya wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao kutoka Shirika la Madaktari Afrika la nchini Marekani wakiangalia umeme wa moyo unaoingia kwa mgonjwa unavyofanya kazi kwa kutumia mashine ya CRTD Programmer wakati wa kambi maalum ya siku tano ya matibabu hayo. Jumla ya wagonjwa 12 wameshapatiwa matibabu katika kambi hiyo.

Picha na: Khamis Mussa

************************************************************************************************************

Comments

Popular posts from this blog

Wateja wa CRDB kutibiwa JKCI kwa punguzo la asilimia 50%

Wanawake wa JKCI SACCOS wanaongoza kwa kumiliki hisa

JKCI kutanua huduma za matibabu ya moyo nchini