Huduma za uchunguzi na matibabu ya moyo zatolewa Sabasaba
Mkemia Mkuu wa Serikali Dkt. Fidelice Mafumiko akimsikiliza
mtafiti wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Zabella Mkojera alipotembelea
banda la Taasisi hiyo wakati wa maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar
es Salaam (Sabasaba)
Katibu
Mkuu Wizara ya Kazi na Ajira Jamal Katundu akizungumza na mratibu wa wagonjwa
wa kimataifa wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Salome Mbunga
alipotembelea banda la JKCI wakati wa maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa
ya Dar es Salaam (Sabasaba)
Daktari
wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Noel Majule akimwelezea mwananchi
aliyefika katika banda la Taasisi hiyo umuhimu wa kuchunguza afya yake wakati
wa maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba)
Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya
Kikwete (JKCI) Honoratha Maucky akimpima kipimo cha kuangalia jinsi moyo
unavyofanya kazi (Echocardiography – ECHO) mwananchi aliyefika katika banda la
Taasisi hiyo wakati wa maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam
(Sabasaba)
Mtafiti
wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Saad Kamtoi akimuuliza maswali ya
ufahamu mwananchi aliyefika katika banda la Taasisi hiyo kwa ajili ya kupata huduma za matibabu ya
moyo wakati wa maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba)
Daktari wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) David
Nazarius akiwaonesha wananchi waliofika katika banda la Taasisi hiyo namna ya
kumhudumia mgonjwa anayehitaji huduma ya dharura wakati wa Maonesho ya 47 ya
Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba).
Picha na: JKCI
*************************************************************************************************************************
Comments
Post a Comment