Wafanyakazi wa JKCI wapata mafunzo ya kutoa huduma bora kwa wagonjwa

Mwezeshaji kutoka kampuni ya VERTEX Charles Nduku akiwafundisha wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) jinsi ya kutoa huduma bora kwa wateja wanaowahudumia wakati wa mafunzo hayo yaliyotolewa kwa wafanyakazi wa kada mbalimbali leo katika ukumbi wa JKCI uliopo jijini Dar es Salaam

Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya jinsi ya kutoa huduma bora kwa wateja wakifuatilia mada zilizokuwa zikiendelea kwenye mafunzo hayo leo katika ukumbi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo jijini Dar es Salaam.

Mfanyakazi wa mapokezi  wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Safina Tibanyendera akichangia mada wakati wa mafunzo ya jinsi ya kutoa huduma bora kwa wateja yaliyofanyika kwa wafanyakazi wa kada mbalimbali wa taasisi hiyo  leo katika ukumbi wa JKCI uliopo jijini Dar es Salaam.

Mwezeshaji kutoka kampuni ya VERTEX Charles Nduku akiwafundisha wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) jinsi ya kutoa huduma bora kwa wateja wanaowahudumia wakati wa mafunzo hayo yaliyotolewa kwa wafanyakazi wa kada mbalimbali leo katika ukumbi wa JKCI uliopo jijini Dar es Salaam

Picha na: JKCI
************************************************************************************************

Comments

Popular posts from this blog

Wateja wa CRDB kutibiwa JKCI kwa punguzo la asilimia 50%

Wanawake wa JKCI SACCOS wanaongoza kwa kumiliki hisa

JKCI, MOI NA MNH waitwa Comoro kutoa huduma za matibabu ya kibingwa