JKCI yashiriki mazoezi ya kutembea maandalizi ya mbio za CRDB Marathon




Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila, Mkurugenzi Mkuu wa benki ya CRDB Abdulmajid Nsekela na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge pamoja na wadau wa mbio za CRDB Marathoni wakifanya mazoezi ya viungo ikiwa ni maandalizi ya kuelekea mbio za CRDB Marathon zitakazofanyika mwezi Agosti mwaka huu kuchangia matibabu ya watoto wenye magonjwa ya moyo wanaotibiwa JKCI.

Baadhi ya viongozi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakifanya mazoezi ya viungo ikiwa ni maandalizi ya kuelekea mbio za CRDB Marathon zitakazofanyika mwezi Agosti mwaka huu kuchangia matibabu ya watoto wenye magonjwa ya moyo wanaotibiwa JKCI.


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila, Mkurugenzi Mkuu wa benki ya pamoja na wadau wa mbio za CRDB Marathoni wakifanya mazoezi ya kutembea ikiwa ni maandalizi ya kuelekea mbio za CRDB Marathon zitakazofanyika mwezi Agosti mwaka huu kuchangia matibabu ya watoto wenye magonjwa ya moyo wanaotibiwa JKCI.

Baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakifanya mazoezi ya kutembea ikiwa ni maandalizi ya kuelekea mbio za CRDB Marathon zitakazofanyika mwezi Agosti mwaka huu kuchangia matibabu ya watoto wenye magonjwa ya moyo wanaotibiwa JKCI.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akizungumza na viongozi kutoka CRDB benki mara baada ya kufanya mazoezi ikiwa ni maandalizi ya kuelekea mbio za CRDB Marathon zitakazofanyika mwezi Agosti mwaka huu kuchangia matibabu ya watoto wenye magonjwa ya moyo wanaotibiwa JKCI.

 

Comments

Popular posts from this blog

Wateja wa CRDB kutibiwa JKCI kwa punguzo la asilimia 50%

Wanawake wa JKCI SACCOS wanaongoza kwa kumiliki hisa

JKCI kutanua huduma za matibabu ya moyo nchini