Mkurugenzi Mtendaji JKCI atembelea maonesho ya Arab Health Dubai
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge atembelea maonyesho ya Arab Health yanayofanyika Dubai katika nchi ya Falme za Kiarabu na kujionea maendeleo makubwa ya technologia ya matibabu ya moyo.
Comments
Post a Comment