JKCI kushirikiana na Canada matibabu ya moyo ya watoto

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akizungumza na Wataalamu kutoka Shirika la Sick Kids International la nchini Canada walipotembelea taasisi hiyo hivi karibuni kwaajili ya kuangalia namna ambavyo watashirikiana na JKCI katika kutoa huduma za kibingwa za matibabu ya moyo kwa watoto.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akiwa katika picha ya pamoja na Wataalamu kutoka Shirika la Sick Kids International la nchini Canada walipotembelea taasisi hiyo hivi karibuni kwaajili ya kuangalia namna ambavyo watashirikiana na JKCI katika kutoa huduma za kibingwa za matibabu ya moyo kwa watoto.

Wataakamu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa katika picha ya pamoja na Wataalamu kutoka Shirika la Sick Kids International la nchini Canada walipotembelea taasisi hiyo hivi karibuni kwaajili ya kuangalia namna ambavyo watashirikiana na JKCI katika kutoa huduma za kibingwa za matibabu ya moyo kwa watoto.

************************************************************************************************************

Comments

Popular posts from this blog

Wateja wa CRDB kutibiwa JKCI kwa punguzo la asilimia 50%

Wanawake wa JKCI SACCOS wanaongoza kwa kumiliki hisa

JKCI kutanua huduma za matibabu ya moyo nchini