JKCI yatoa huduma za matibabu ya moyo bila malipo Zanzibar
Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Aika Nnkya akimuonyesha mkazi wa Zanzibar kipimo cha kuangalia jinsi moyo wake unavyofanya kazi wakati wa zoezi la upimaji na matibabu ya magonjwa ya moyo bila malipo linalofanyika katika uwanja wa Amaani.
Daktari wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dotto
Sebastian akimpatia dawa za moyo mkazi wa Zanzibar aliyefika katika uwanja wa Amaani kupata huduma za
uchunguzi na matibabu ya moyo zinazotolewa bila malipo katika kikao kazi cha 20 cha Maafisa
Habari, Uhusiano na Itifaki wa Serikali.
Comments
Post a Comment