Wataalamu wa afya wapata mafunzo ya kuwasaidia wagonjwa wa shambulio la moyo
Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo kutoka Global Fips Hospital iliyopo nchini Marekani Parag Patel akiwafundisha wataalamu wa afya kutoka hospitali mbalimbali nchini namna ya kutambua na kumsaidia mgonjwa aliyepata shambulio la moyo wakati wa mafunzo ya siku moja yaliyofanyika katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) leo jijini Dar es Salaam.
Wataalamu wa magonjwa ya moyo kutoka Hospitali 46 nchini wakisikiliza
wakati wa mafunzo ya siku moja ya namna ya kutambua na kumsaidia mgonjwa
aliyepata shambulio la moyo yaliyokuwa yakitolewa na Daktari bingwa wa magonjwa
ya moyo kutoka Global Fips Hospital iliyopo nchini Marekani Parag Patel leo
katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo jijini Dar es Salaam.
Picha na: JKCI
****************************************************************************************************
Comments
Post a Comment