Wataalamu kutoka nchi 25 washiriki mkutano wa magonjwa ya moyo nchini
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akifanya kikao na viongozi kutoka Hospitali za moyo za nchini Zambia, Rwanda, Uganda pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Save a Child’s Heart la nchini Israel Simon Fisher wakati wa mkutano wa tatu wa kimataifa wa magonjwa ya moyo unaofanyika katika hoteli ya Sea Clif iliyopo mjini Zanzibar
Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo kutoka Global Fips Hospital iliyopo nchini Marekani Parag Patel akiwafundisha wataalamu wa magonjwa ya moyo kutoka nchi mbalimbali namna
ya kugundua magonjwa mbalimbali ya moyo wakati wa mkutano wa tatu wa kimataifa
wa magonjwa ya moyo unaofanyika katika hoteli ya Sea Clif iliyopo mjini
Zanzibar
Wataalamu wa magonjwa ya moyo kutoka nchi mbalimbali duniani
wakifuatilia mada zinazotolewa katika mkutano wa tatu wa kimataifa wa magonjwa
ya moyo unaofanyika katika hoteli ya Sea Clif iliyopo mjini Zanzibar
Picha na: JKCI
***********************************************************************************************
Comments
Post a Comment