JKCI Yatoa Rai kwa Watumishi Kuongeza Ufanisi na Weledi Kazini

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akizungumza na wafanyakazi wa Taasisi hiyo wakati wa kikao cha wafanyakazi kilichofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa mikutano wa JKCI jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group Dkt. Tulizo Shemu akichangia mada wakati wa kikao cha wafanyakazi wa Taasisi hiyo kilichofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa mikutano taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Fedha na Mipango wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) CPA. Agnes Kuhenga akiwasilisha taarifa ya fedha  ya mapato na matumizi ya  taasisi hiyo wakati wa kikao cha wafanyakazi kilichofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa mikutano wa JKCI iliyopo jijini Dar es Salaam.

Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Magreth Mbaruku akichangia mada wakati wa kikao cha wafanyakazi wa Taasisi hiyo kilichofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa mikutano wa JKCI iliyopo jijini Dar es Salaam.


Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group wakimsikiza Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Dkt. Peter wakati wa kikao cha wafanyakazi wa Taasisi hiyo kilichofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa mikutano wa taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.


Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) makao makuu wakisikiliza wakimsikiza Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Dkt. Peter wakati wa kikao cha wafanyakazi wa Taasisi hiyo kilichofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa mikutano wa taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.


 

Comments

Popular posts from this blog

JKCI na Burkina Faso zasaini makubaliano ya ushirikiano katika kutoa tiba ya magonjwa ya moyo

Wanawake waaswa kulinda mioyo yao, kuepuka sukari na chumvi kupita kiasi