Rasimu ya kwanza ya mpango mkakati wa tatu wa JKCI yajadiliwa

Baadhi ya wajumbe wa kamati ya maandalizi ya mpango mkakati wa tatu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakifuatilia mada zilizokuwa zikiendelea wakati wa kikao cha kupitia rasimu ya kwanza ya mpango huo kilichofanyika leo jijini Dar es Salaam.

Mjumbe wa kamati ya maandalizi ya mpango mkakati wa tatu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Fiona Kavishe akichangia mada wakati wa kikao cha kupitia rasimu ya kwanza ya mpango huo kilichofanyika leo jijini Dar es Salaam.

Mshauri wa mpango mkakati kutoka kampuni ya Bankable Tanzania Limited Caroline Chema akiwasilisha rasimu ya kwanza ya mpango mkakati wa tatu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa wajumbe wa kamati ya mpango huo leo jijini Dar es Salaam.

Picha na: JKCI

***************************************************************************************

Comments

Popular posts from this blog

Kutoka miaka 22 hadi kustaafu: Safari ya Lemmah yatoa somo kwa Watumishi wa Umma

Wanawake waaswa kulinda mioyo yao, kuepuka sukari na chumvi kupita kiasi