Posts
15 Wahitimu mafunzo ya kuwahudumia wagonjwa mahututi na wa dharura
- Get link
- X
- Other Apps
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akizungumza na wauguzi 15 kutoka hospitali mbalimbali nchini walioshiriki mafunzo ya wiki 30 ya jinsi ya kuwahudumia wagonjwa wa dharura na mahututi wakati wa hafla fupi ya kuhitimu mafunzo hayo iliyofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Taasisi hiyo jijini Dar es Salaam Wauguzi kutoka Hospitali mbalimbali nchini walioshiriki mafunzo ya wiki 30 ya jinsi ya kuwahudumia wagonjwa wa dharura na mahututi wakisikiliza wakati wa hafla fupi ya kuhitimu mafunzo hayo iliyofanyika hivi karibuni katika Ukumbi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete iliyopo jijini Dar es Salaam Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete ambaye pia ni mwezeshaji wa mafunzo ya jinsi ya kuwahudumia wagonjwa wa dharura na mahututi Joshua Ogutu akizungumza na wahitimu wa mafunzo hayo wakati wa hafla fupi ya kuhitimu iliyofanyika katika Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt...
Watu 251 wapimwa magonjwa ya moyo Dodoma
- Get link
- X
- Other Apps
Naibu Waziri wa Afya Mhe. Dkt.Godwin Mollel akiwapongeza wauguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kutokana na huduma ya upimaji wa magonjwa ya moyo waliyoitoa kwa wananchi katika maadhimisho ya miaka 70 ya Baraza la Uuguzi na Ukunga yaliyoenda sambamba na maonesho ya siku tatu ya huduma zinazotolewa na wauguzi yaliyomalizika jana katika viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma. Kulia ni Mkurugenzi wa Uuguzi wa JKCI Robert Mallya. Naibu Waziri wa Afya Mhe. Dkt. Godwin Mollel akisaini kitabu cha wageni katika banda la Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakati wa maadhimisho ya miaka 70 ya Baraza la Uuguzi na Ukunga yaliyoenda sambamba na maonesho ya siku tatu ya huduma zinazotolewa na wauguzi yaliyomalizika jana katika viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma. Kulia ni Mkurugenzi wa Uuguzi wa JKCI Robert Mallya. Mkurugenzi wa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Robert Mallya akimweleza Naibu Waziri wa Afya Mhe. Dkt. Godwin Mollel huduma za matibabu ya moyo zilizoto...
Shirika la Bigger Heart lililoko Zanzibar latembelea watoto wenye magonjwa ya moyo
- Get link
- X
- Other Apps
Mama wa mtoto Tumaini Yasin akipokea zawadi kutoka kwa mwakilishi kutoka Shirika la Bigger Heart lililoko Zanzibar walipotembelea watoto wanaotibiwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) . Mkuu wa Kitengo cha Ustawi wa Jamii kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Asha Salum na msimamizi wa wodi ya watoto wenye magonjwa ya moyo Theresia Tarimo wakipokea zawadi za mwanasesere kutoka kwa mwakilishi kutoka Shirika la Bigger Heart lililoko Zanzibar walipotembelea watoto wanaotibiwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) .
Wakazi wa Dodoma washukuru huduma ya upimaji magonjwa ya moyo
- Get link
- X
- Other Apps
Wauguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete wakiwapima wananchi waliotembelea banda la Taasisi hiyo shinikizo la damu na kiwango cha sukari mwilini wakati wa maadhimisho ya miaka 70 ya Baraza la Uuguzi na Ukunga yanayoenda sambamba na maonesho ya siku tatu ya huduma zinazotolewa na wauguzi yanayofanyika katika viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma. Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Adam Ndamayape akitoa elimu ya jinsi ya kuepukana na magonjwa ya moyo kwa wananchi waliotembelea banda la Taasisi hiyo wakati wa maadhimisho ya miaka 70 ya Baraza la Uuguzi na Ukunga yanayoenda sambamba na maonesho ya siku tatu ya huduma zinazotolewa na wauguzi yanayofanyika katika viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma. Mkurugenzi wa Idara ya Uuguzi na Ukunga kutoka Wizara ya Afya Ziada Selah akiwa katika picha ya pamoja na wauguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakati wa maadhimisho ya miaka 70 ya Baraza la Uuguzi na Ukunga...
Wauguzi wa JKCI watoa huduma za upimaji na elimu ya magonjwa ya moyo mkoani Dodoma
- Get link
- X
- Other Apps
Mkurugenzi wa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Robert Mallya akitoa elimu ya dalili za shambulio la moyo pamoja na madhara yake kwa wanafunzi wa Uuguzi kutoka Chuo Kikuu cha St. John kilichopo jijini Dodoma wakati wa maadhimisho ya miaka 70 ya Baraza la Uuguzi na Ukunga yanayoenda sambamba na maonesho ya siku tatu ya huduma zinazotolewa na wauguzi yanayofanyika katika viwanja vya Nyerere Square jijini humo. Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Adam Ndamayape akimweleza mwananchi aliyetembelea banda la Taasisi hiyo kuhusu ugonjwa wa shinikizo la juu la damu wakati wa maadhimisho ya miaka 70 ya Baraza la Uuguzi na Ukunga yanayoenda sambamba na maonesho ya siku tatu ya huduma zinazotolewa na wauguzi yanayofanyika katika viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma. Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Rehema Bakari akimpima mwananchi aliyetembelea banda la Taasisi hiyo shinikizo la damu wakati wa maadhimisho ya miaka 7...