Posts

JKCI yaendeleza diplomasia ya Afya kupitia ushirikiano na Ubalozi wa China

Image
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akimkabidhi tuzo ya shukrani Mkuu wa Uchumi na Biashara wa Ubalozi wa China nchini Tanzania, Chu Kun kwa kutambua ushirikiano kati ya JKCI na Serikali ya China katika utoaji wa huduma za matibabu ya moyo na mafunzo kwa wataalamu wa afya nchini. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akimkabidhi zawadi Mkuu wa Uchumi na Biashara wa Ubalozi wa China nchini Tanzania Chu Kun mara baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao kuhusu kuimarisha ushirikiano wa kutoa huduma za matibabu ya moyo kwa raia wa China wanaoishi Tanzania. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)  Dkt. Peter Kisenge akimkabidhi zawadi Msaidizi wa Mkuu wa Uchumi na Biashara wa Ubalozi wa China nchini Tanzania Zhou Zihan  baada ya kumalizika kwa mazungumzo yaliyolenga kuendeleza ushirikiano wa huduma za matibabu ya moyo kwa raia wan chi hiyo wanaoishi Tanzania. Mkurugenzi Mtendaji...

Afya kwanza: JKCI yahakikishia usalama wa mioyo ya wanamichezo Chipukizi...

Image

Afya kwanza: JKCI yahakikishia usalama wa mioyo ya wanamichezo Chipukizi Cup Arusha

Image
Wataalamu wa magonjwa ya moyo wa  Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar wakiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Duwa Sports Club wanaoshiriki katika mashindano ya16 ya Chipukizi Cup yanayofanyika katika viwanja vya Tanganyika Game Trackers (TGT) vilivyopo jijini Arusha. Mtalaamu ya vipimo vya moyo   wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group Nelson Kolukwi akimpima kipimo cha kuangalia jinsi mfumo wa umeme wa moyo unavyofanya kazi mchezaji wa  PE Academy ya nchini Zimbabwe wakati wa mashindano ya16 ya Chipukizi Cup vilivyopo katika viwanja vya Tanganyika Game Trackers (TGT) vilivyopo jijini Arusha. Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group ambaye pia ni mratibu wa magonjwa ya moyo kwa wanamichezo Eva Wakuganda akimpima kipimo cha kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi mchezaji wa Future Stars Academy (FSA) anayeshiriki mashindano ya 16 ya Chipukizi...

Wagonjwa watano wenye mishipa ya damu iliyoziba kwa asilimia 75 kufanyiwa upasuaji wa moyo

Image
Wataalamu wa upasuaji wa moyo na mishipa ya damu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakishirikiana na mwenzao kutoka Hospitali ya Jaslok iliyopo Mumbai nchini India Upendra Bhalerao kumfanyia mgonjwa upasuaji wa kupandikiza mshipa ya damu wa moyo bila kusimamisha moyo (off – Pump CABG) wakati wa kambi maalumu ya siku tano inayofanyika katika Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam. Wataalamu wa upasuaji wa moyo na mishipa ya damu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa katika picha ya pamoja na wenzao kutoka Hospitali ya Jaslok iliyopo Mumbai nchini India wakati wa kambi maalumu ya siku tano ya upasuaji wa moyo wa kupandikiza mishipa ya damu ya moyo bila kusimamisha moyo (off – Pump CABG) inayofanyika katika Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Health & Wellness Companion Ltd (HWC) Dkt. Priyank Punatar Picha na Hamis Mussa *****************************************************************************************************...

Dkt. Peter Kisenge awataka wafanyakazi ALMC kujituma

Image
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akizungumza na wafanyakazi wa Arusha Lutheran Medical Center (ALMC) wakati wa kikao cha kutoa mwelekeo wa kazi na mustakabali wa uendeshaji wa hospitali hiyo ambayo kuanzia tarehe 1/1/2026 itakuwa chini ya usimamizi wa JKCI. ALMC inamilikiwa na  Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Kati (DKAK). Mwenyekiti wa Bodi ya Arusha Lutheran Medical Center (ALMC) Peter Maduki akizungumza na wafanyakazi wa Arusha Lutheran Medical Center (ALMC) wakati wa kikao cha kutoa mwelekeo wa kazi na mustakabali wa uendeshaji wa hospitali hiyo ambayo kuanzia tarehe 1/1/2026 itakuwa chini ya usimamizi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). ALMC inamilikiwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Kati (DKAK). Wafanyakazi wa Arusha Lutheran Medical Center (ALMC) wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge wak...

Bidii na maadili ya kazi yasisitizwa ALMC — Dkt. Peter Kisenge

Image

JKCI kuisimamia ALMC, huduma za moyo na magonjwa alekezi zasogezwa Kaskazini

Image
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Arusha kuhusu makubaliano ya ushirikiano yaliyosainiwa kati ya taasisi hiyo na Arusha Lutheran Medical Center (ALMC). Baadhi ya Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo  Dkt. Peter Kisenge wakati akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Arusha kuhusu makubaliano ya ushirikiano yaliyosainiwa kati ya taasisi hiyo na Arusha Lutheran Medical Center (ALMC). ********************************************************************************************************************************************************************************************** Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imesaini makubaliano ya kuisimamia Arusha Lutheran Medical Center (ALMC) kwa kipindi cha miaka 20, kwa lengo la kutoa huduma za matibabu ya moyo pamoja na magonjwa elekezi ya moyo na magonjwa mengine ya kibingwa kwa w...