JKCI yaendeleza diplomasia ya Afya kupitia ushirikiano na Ubalozi wa China
Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge
akimkabidhi tuzo ya shukrani Mkuu wa Uchumi na Biashara wa Ubalozi wa China
nchini Tanzania, Chu Kun kwa kutambua ushirikiano kati ya JKCI na Serikali ya
China katika utoaji wa huduma za matibabu ya moyo na mafunzo kwa wataalamu wa
afya nchini.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge
akimkabidhi zawadi Mkuu wa Uchumi na Biashara wa Ubalozi wa China nchini Tanzania
Chu Kun mara baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao kuhusu kuimarisha
ushirikiano wa kutoa huduma za matibabu ya moyo kwa raia wa China wanaoishi
Tanzania.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akimkabidhi zawadi
Msaidizi wa Mkuu wa Uchumi na Biashara wa Ubalozi wa China nchini Tanzania Zhou
Zihan baada ya kumalizika kwa mazungumzo
yaliyolenga kuendeleza ushirikiano wa huduma za matibabu ya moyo kwa raia wan chi
hiyo wanaoishi Tanzania.
Picha na
JKCI
*****************************************************************************************





Comments
Post a Comment