JKCI yawashukuru Wafanyakazi: Funzo la ushirikiano na zawadi za mwisho wa mwaka
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akimkabidhi Mhasibu wa taasisi hiyo Elizabeth Nchunda zawadi ya mafuta ya kupikia ambayo ni moja ya zawadi za kumaliza mwaka 2025 zilizotolewa kwa wafanyazi wa taasisi hiyo. Uongozi wa JKCI umewapa wafanyakazi wake zawadi za sukari, mchele, mafuta ya kupikia, unga wa ngano na ndoo ya sabuni ya kufulia.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akimkabidhi Afisa Muuguzi wa taasisi hiyo Adam Ndamayape zawadi ya sabuni ya kufulia ambayo ni moja ya zawadi za kumaliza mwaka 2025 zilizotolewa kwa wafanyazi wa taasisi hiyo. Uongozi wa JKCI umewapa wafanyakazi wake zawadi za sukari, mchele, mafuta ya kupikia, unga wa ngano na ndoo ya sabuni ya kufulia.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akimkabidhi daktari wa taasisi hiyo Kawajika Mwinyipembe zawadi ya mchele ambayo ni moja ya zawadi za kumaliza mwaka 2025 zilizotolewa kwa wafanyazi wa taasisi hiyo. Uongozi wa JKCI umewapa wafanyakazi wake zawadi za sukari, mchele, mafuta ya kupikia, unga wa ngano na ndoo ya sabuni ya kufulia.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akimkabidhi daktari bingwa wa usingizi na wagonjwa mahututi wa taasisi hiyo Nai Kipuyo zawadi ya sukari ambayo ni moja ya zawadi za kumaliza mwaka 2025 zilizotolewa kwa wafanyazi wa JKCI. Uongozi wa taasisi hiyo umewapa wafanyakazi wake zawadi za sukari, mchele, mafuta ya kupikia, unga wa ngano na ndoo ya sabuni ya kufulia.

.jpeg)
.jpeg)


Comments
Post a Comment