Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete
(JKCI) Dkt. Peter Kisenge, akisalimiana na Katibu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la
Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Kati (DKAK) Mwalimu Solomon Sambweti
alipomtembea ofisini kwake leo jijini Arusha kwaajili ya kuona namna watakavyotekeleza
makubaliano ya ushirikiano wa utoaji wa huduma za matibabu ya moyo na magonjwa
tegemezi ya moyo ambayo JKCI imesaini na Arusha Lutheran Medical Center (ALMC) iliyopo
chini ya Dayosisi hiyo. Ushirikiano huo unalenga kusogeza huduma za ubingwa ubobezi
wa magonjwa ya moyo na magonjwa tegemezi ya moyo karibu na wananchi wa mikoa ya
Kaskazini.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge, akimpa zawadi Katibu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Kati (DKAK) Mwalimu Solomon Sambweti alipomtembea ofisini kwake leo jijini Arusha kwaajili ya kuona namna watakavyotekeleza makubaliano ya ushirikiano wa utoaji wa huduma za matibabu ya moyo na magonjwa tegemezi ya moyo ambayo JKCI imesaini na Arusha Lutheran Medical Center (ALMC) iliyopo chini ya Dayosisi hiyo. Ushirikiano huo unalenga kusogeza huduma za ubingwa ubobezi wa magonjwa ya moyo na magonjwa tegemezi ya moyo karibu na wananchi wa mikoa ya Kaskazini.

Katibu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Kati (DKAK) Mwalimu Solomon Sambweti akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge alipomtembea ofisini kwake leo jijini Arusha kwaajili ya kuona namna watakavyotekeleza makubaliano ya ushirikiano wa utoaji wa huduma za matibabu ya moyo na magonjwa tegemezi ya moyo ambayo JKCI imesaini na Arusha Lutheran Medical Center (ALMC) iliyopo chini ya Dayosisi hiyo. Ushirikiano huo unalenga kusogeza huduma za ubingwa ubobezi wa magonjwa ya moyo na magonjwa tegemezi ya moyo karibu na wananchi wa mikoa ya Kaskazini.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge, akimpa zawadi Mkurugenzi Mtendaji wa Arusha Lutheran Medical Center (ALMC) Dkt. Goodwill Kivuyo mara baada ya kumaliza mazungumzo yao na Katibu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Kati (DKAK) Mwalimu Solomon Sambweti ya kuona namna watakavyotekeleza makubaliano ya ushirikiano wa utoaji wa huduma za matibabu ya moyo na magonjwa tegemezi ya moyo ambayo taasisi hizo imesaini. Arusha Lutheran Medical Center (ALMC) iko chini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Kati (DKAK).

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Kati (DKAK) Mwalimu Solomon Sambweti na viongozi wa JKCI mara baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao ya kuona namna watakavyotekeleza makubaliano ya ushirikiano wa utoaji wa huduma za matibabu ya moyo na magonjwa tegemezi ya moyo ambayo JKCI imesaini na Arusha Lutheran Medical Center (ALMC) iliyopo chini ya Dayosisi hiyo. Ushirikiano huo unalenga kusogeza huduma za ubingwa ubobezi wa magonjwa ya moyo na magonjwa tegemezi ya moyo karibu na wananchi wa mikoa ya Kaskazini.
Comments
Post a Comment