Mkurungenzi Mtendaji MNH akabidhi ofisi yake ya awali ya JKCI

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Dkt. Delilah Kimambo akikabidhi ofisi kwa Kaimu Mkurugenzi wa Tiba Shirikishi  wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Naizihijwa Majani. Kabla ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa MNH Dkt. Delilah alikuwa Mkurugenzi wa Tiba Shirikishi wa JKCI.

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Dkt. Delilah Kimambo akizungumza na Kaimu Mkurugenzi wa Tiba Shirikishi  wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Naizihijwa Majani. Kabla ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa MNH Dkt. Delilah alikuwa Mkurugenzi wa Tiba Shirikishi wa JKCI.

Picha na: JKCI

********************************************************************************************************************


Comments

Popular posts from this blog

Serikali yazindua kitabu safari ya upandikizaji wa moyo Tanzania, JKCI yaweka historia mpya ya huduma za kibobezi

Kutoka miaka 22 hadi kustaafu: Safari ya Lemmah yatoa somo kwa Watumishi wa Umma