Wafanyakazi wa JKCI wapewa mafunzo ya Uzalendo, Mawasiliano ndani ya Serikali na Uadilifu
Mwezeshaji wa mafunzo ya Uzalendo, Mawasiliano
ndani ya Serikali na Uadilifu Balozi Omar Kashera akizungumza na wafanyakazi wa
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakati wa mafunzo hayo ya siku moja yaliyofanyika
jana katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Dkt. Peter Kisenge.
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakisikiliza mafunzo ya Uzalendo, Mawasiliano ndani ya Serikali na Uadilifu yaliyokuwa yanatolewa jana na Balozi Omar Kashera katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
Comments
Post a Comment