JKCI yatafuta bilioni 1 ya upasuaji kwa watoto 500 wasio na uwezo
Kaimu mtendaji mkuu wa shirika lisilo la kiserikali la Heart Team Africa Foundation (HTAF) Linda Gideon akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu shirika hilo kuandaa chakula cha jioni (Dinner Gala) kwa ajili ya kuchangisha fedha za matibabu ya moyo kwa watoto wasio na uwezo. Mkutano wa waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya chakula cha jioni (Dinner Gala) kwaajili ya kuchangisha fedha za matibabu ya moyo kwa watoto wasio na uwezo ukiendelea katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) . Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya kuandaa chakula cha jioni (Dinner Gala) kwaajili ya kuchangisha fedha za matibabu ya moyo kwa watoto wasio na uwezo Dkt. Naizihijwa Majani akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Mjumbe wa Kamati ya Maandalizi ya kuandaa chakula cha jioni (Dinner Gala) kwaajili ya kuchangisha fedha za matibabu ya moyo kwa watoto wasio na uwezo Idd Lema akizungumza ...