Wananchi Iringa wachangamkia fursa ya kupima moyo
Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Jalack
Milinga akimpima kipimo cha kuangalia sukari mwilini mwananchi aliyefika katika
Hospitali ya Mkoa wa Iringa (IRRH) kwaajili ya kupima moyo wakati wa kambi
maalumu ya siku tano inayofanywa na wataalamu wa JKCI kwa kushirikiana na
wenzao wa IRRH.
Afisa Lishe wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Husna
Faraji akiwaelezea umuhimu wa lishe bora wananchi waliofika katika Hospitali ya
Rufaa ya Mkoa wa Iringa (IRRH) kwaajili ya kupima moyo wakati wa kambi maalumu
ya siku tano inayofanywa na wataalamu wa JKCI kwa kushirikiana na wenzao wa
IRRH.
Afisa Uuguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa (IRRH) Diana Nyagawa akimpima urefu na uzito mwananchi aliyefika katika Hospitali ya Mkoa wa Iringa (IRRH) kwaajili ya kupima moyo wakati wa kambi maalumu ya siku tano inayofanywa na wataalamu wa JKCI kwa kushirikiana na wenzao wa IRRH.
Picha na: Khamis Mussa
****************************************************************************************************************
Comments
Post a Comment