Wafanyakazi wa JKCI washiriki Iftari ya pamoja


Kaimu MKurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Delilah Kimambo akizungumza na wafanyakazi wa JKCI  wakati wa Iftari ya pamoja iliyoandaliwa na Taasisi hiyo hivi karibuni jijini Dar es Salaam.

Kaimu MKurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Delilah Kimambo akiwaongoza wafanyakazi wa taasisi hiyo kuchukuwa chakula wakati wa Iftari ya pamoja iliyoandaliwa na Taasisi hiyo hivi karibuni jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakichukuwa  chakula wakati wa Iftari ya pamoja iliyoandaliwa na Taasisi hiyo hivi karibuni jijini Dar es Salaam.

Comments

Popular posts from this blog

Wateja wa CRDB kutibiwa JKCI kwa punguzo la asilimia 50%

Wanawake wa JKCI SACCOS wanaongoza kwa kumiliki hisa

JKCI kutanua huduma za matibabu ya moyo nchini